Fundi sanifu daraja ii –umeme wa magari Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Meru Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Meru
POST FUNDI SANIFU DARAJA II –UMEME WA MAGARI - 2 POST
POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Meru
APPLICATION TIMELINE 2021-06-01 2021-06-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo;
ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya Mhandisi;
iii. Kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme;
iv. Kufanya kazi za kutengeneza mitambo,magari na vifaa vya umeme; na
v. Kufanya usanifu wa miradi midogo midogo ya umeme kusimamia jinsi ya
kufunga mashine mpya zinazowekwa kwenye karakana za Ufundi na Umeme.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne IV au sita VI na kufuzu mafunzo ya
Ufundi ya miaka miwili/Stashahada katika fani ya Umeme kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
Read and Apply Now Through
URL Link to Apply
Fundi sanifu daraja ii –umeme wa magari Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Meru Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog
0 Response to Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Meru