Afisa Utafiti Kilimo (Agricultural Research Officer) X2 Jobs in Tanzania Tanzania Tanzania Agricultural Research Institute (Tari) Jobs in Tanzania Tanzania Afisa Utafiti Kilimo (Agricultural Research Officer) X2 Jobs in Tanzania at Tanzania Agricultural Research Institute (Tari)




POST AFISA UTAFITI KILIMO AGRICULTURAL RESEARCH OFFICER – 2 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute TARI
APPLICATION TIMELINE 2020-09-09 2020-09-23
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa kilimo/uchumi kilimo
chini ya maelekezo ya Afisa Utafiti Mwandamizi;
ii. Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti
zinazoendelea;
iii. Kuhudhuria mikutano ya Kanda ya kuhuisha programu za utafiti;
iv. Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia
teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yao;
v. Kutoa ripoti ya maendeleo ya utafiti na mapendekezo ya utafiti katika
mikutano ya kanda ya kuhuisha program za utafiti;
vi. Kufanya shughuli za utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa Afisa
Utafiti Mwandamizi;
vii. Kuandika mapendekezo ya utafiti chini ya uongozi wa afisa utafiti
mwandamizi;
viii. Kuandika ripoti za miradi ya utafiti kwa ajili ya kupitishwa na Afisa
Utafiti Mwandamizi;
ix. Kufanya majaribio ya husishi ya kilimo ma mifugo katika mashamba ya
wakulima kwa kushirikiana na Maafisa Ugani na wakulima wenyewe; na
x. Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza bachelor degree ya Uhandisi Kilimo au sifa
inayolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGRS A



Apply Now Through









URL Link to Apply

[ **Submit your CV and Application on Company Website Click Here**
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3132

Closing Date 9th September , 2020.



Afisa Utafiti Kilimo (Agricultural Research Officer) X2 Jobs in Tanzania Tanzania Tanzania Agricultural Research Institute (Tari) Jobs in Tanzania Tanzania Afisa Utafiti Kilimo (Agricultural Research Officer) X2 Jobs in Tanzania at Tanzania Agricultural Research Institute (Tari)


Welcome back to mkaguzi.blogspot.com