Jobs in Dar es Salaam Tanzania Baraza La Kiswahili La Taifa (Bakita) Jobs in Dar es Salaam Katibu Muhtasi Daraja La I Jobs in Dar es Salaam at Baraza La Kiswahili La Taifa (Bakita) Katibu Muhtasi Daraja La I Employment opportunities Baraza La Kiswahili La Taifa (Bakita)




POST KATIBU MUHTASI DARAJA LA I – 1 POST

POST CATEGORYS HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa BAKITA
APPLICATION TIMELINE 2020-09-09 2020-09-23
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii. Kupokea wageni na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kuhudumiwa;
iii. Kutunza kumbukumbu ya matukio, miadi, wageni, tarehe za viako, safari nk.
iv. Kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo, na
kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
v. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi na kuifikisha sehemu
zinazohusika na upatikanaji wa vifaa hivyo
vi. Kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya kiofisi ya mkuu wake sehemu
mbalimbali

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwenye cheti cha kidato cha nne au sita, mwenye Stashahada ya kawaida ya
uhazili kutoka chuo kinachotambuliwa na Selikari, mwenye ufaulu katika
mitihani ya hatua ya tatu pamoja na masomo ya hati mkato/short hand ya
Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja, aliyehudhuria mafunzo ya
komputa na kupata cheti cha program za ‘Window, Microsoft Office, Microsoft
Excel, Internet, E-mail na Publisher’ na mwenye uzoefu wa kazi usiopungua
miaka mine 4 katika fani hiyo
REMUNERATION Kwa kuzingatia viwango vya Shirika



Apply Today Through









URL Link to Apply

[ **Submit your CV and Application on Company Website Click Here**
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3129

Closing Date 9th September, 2020.



Jobs in Dar es Salaam Tanzania Baraza La Kiswahili La Taifa (Bakita) Jobs in Dar es Salaam Katibu Muhtasi Daraja La I Jobs in Dar es Salaam at Baraza La Kiswahili La Taifa (Bakita) Katibu Muhtasi Daraja La I Employment opportunities Baraza La Kiswahili La Taifa (Bakita)


Please share to your friends our blog mkaguzi.blogspot.com