Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Carreer opportunities in Tanzania Msaidizi wa hesabu Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda


POST MSAIDIZI WA HESABU - 1 POST

POST CATEGORYS ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii.Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;

iii.Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;

iv.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na

v.Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu NBAA.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application to









URL Link to Apply


Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Carreer opportunities in Tanzania Msaidizi wa hesabu Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda


Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog