Msaidizi wa kumbukumbu daraja ii Jobs in MINISTRY OF HEALTH (MOH) Tanzania vacancies in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)


POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II - 1 POST

POST CATEGORYS HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH MOH
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kupanga na kuthibiti kumbukumbu/nyaraka katika vyumba vya kuhifadhia
kumbukumbu;

ii.Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Wizara za serikali na
Taasisi zake;

iii.Kutafuta kumbukumbu/nyaraka zinazohitajiwa na wasomaji;

iv.Kufanya ukarabati kumbukumbu zilizoharibika; na

v.Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika vyumba vya kuhifadhia nyaraka.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita wenye cheti cha Mafunzo ya Utunzaji
Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama au Ardhi.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Read and Apply Now Through









URL Link to Apply


Msaidizi wa kumbukumbu daraja ii Jobs in MINISTRY OF HEALTH (MOH) Tanzania vacancies in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog