MINISTRY OF HEALTH (MOH) Carreer opportunities in Tanzania Afisa lishe daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)
POST AFISA LISHE DARAJA LA II - 1 POST
POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
RESEARCH,SCIENCE AND BIOTECH
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH MOH
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukusanya taarifa na takwimu za lishe kutoka kwa wadau na makundi mbalimbali
na kutoa ushauri kuhusu lishe bora katika ngazi ya Wizara;
ii.Kuchambua takwimu za lishe na kuandaa taarifa ya watoto na makundi mengine
yenye lishe duni;
iii.Kushiriki katika kuandaa mipango ya bajeti ya lishe katika ngazi ya
Wizara;
iv.Kutoa taarifa za mara kwa mara za hali ya lishe katika ngazi ya Wizara;
v.Kusimamia kazi za lishe katika ngazi ya Wizara; na
vi.Atafanya kazi nyingine za fani yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa
kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza waliojiimarisha katika fani ya Lishe,
Sayansikimu na Lishe, Sayansi ya Chakula na Teknolojia ya Chakula au
stashahada ya juu ya Lishe kutoka Chuo cha Elimu ya juu kinachotambuliwa na
Serikali.
REMUNERATION TGS D
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Today Through
URL Link to Apply
MINISTRY OF HEALTH (MOH) Carreer opportunities in Tanzania Afisa lishe daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)
For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog
0 Response to Afisa lishe daraja la ii Jobs at MINISTRY OF HEALTH (MOH)