Msaidizi ustawi wa jamii daraja ii Jobs in MINISTRY OF HEALTH (MOH) Tanzania vacancies in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)


POST MSAIDIZI USTAWI WA JAMII DARAJA II - 1 POST

POST CATEGORYS SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL
DEVELOPMENT
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH MOH
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kutambua na kuhudumia watu walio katika makundi maalum na mazingira
hatarishi;

ii.Kukusanya takwimu zinazohusu watu walio katika makundi maalum na mazingira
hatarishi;

iii.Kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia na
watu wenye dhiki; na

iv.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na
elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita na wenye cheti cha mafunzo ya
mwaka mmoja ya Ustawi wa Jamii kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Through









URL Link to Apply


Msaidizi ustawi wa jamii daraja ii Jobs in MINISTRY OF HEALTH (MOH) Tanzania vacancies in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog