MINISTRY OF HEALTH (MOH) Carreer opportunities in Tanzania Mkufunzi daraja ii Jobs opportunities in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)
POST MKUFUNZI DARAJA II - 1 POST
POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH MOH
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo kwa wanafunzi wa astashahada na
stashahada;
ii.Kuendesha mafunzo kwa kozi za uhandisi ujenzi kwa wanafunzi wa astashahada
na stashahada;
iii.Kuandaa michoro na makadrio ya kazi za ujenzi;
iv.Kusimamia na kukagua kazi za ujenzi zinazofanywa na taasisi;
v.Kutoa huduma ya ushauri wa kitaalamu;
vi.Kusimamia wanafunzi wakati wa mafunzo kwa vitendo;
vii.Kufanya tafiti mbalimbali zinazohusiana na kazi za ujenzi;
viii.Kutekeleza kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uhandisi Ujenzi Civil Engineering wenye G.P.A ya
3.5 na kuendelea kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS D
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Through
URL Link to Apply
MINISTRY OF HEALTH (MOH) Carreer opportunities in Tanzania Mkufunzi daraja ii Jobs opportunities in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)
Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog
0 Response to Jobs in at MINISTRY OF HEALTH (MOH)