Afisa ustawi wa jamii daraja ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC) Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC
POST AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA II - 1 POST
POST CATEGORYS SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL
DEVELOPMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Nzega NZEGA DC
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuendesha Usaili wa wahudumiwa watu wenye ulemavu, wazee, familia zenye
matatizo, watoto na vijana wenye matatizo mbalimbali;
ii.Kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao
kamili;
iii.Kuandaa taarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa;
iv.Kupokea na kukusanya taarifa za Ustawi wa Jamii kutoka kwa wadau na vituo
mbalimbali vya Ustawi wa Jamii;
v.Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu, wazee,
malezi ya watoto na familia zenye matatizo;
vi.Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji vituo vya
kulelea watoto wadogo mchana, malezi ya kambo foster care na vituo vya
walezi wa watoto wadogo mchana;
vii.Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka
kwa akina mama, waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja;
viii.Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au
wanaohitaji misaada mbalimbali;
ix.Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali toka kwenye
familia za watu wenye dhiki;
x.Kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa;
xi.Kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya Ufundi Stadi vya
watu wenye ulemavu, Mahabusu za watoto na shule za maadilisho; na
xii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na
elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada au Stashahada ya juu ya Sanaa katika fani ya ‘Social
Works’ au ‘Sociology’ kutoka Chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na
Serikali
REMUNERATION TGS D
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Now Through
URL Link to Apply
Afisa ustawi wa jamii daraja ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC) Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC
For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog
0 Response to Afisa ustawi wa jamii daraja ii Jobs at Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC)