Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Carreer opportunities in Tanzania Msaidizi wa hesabu Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto
POST MSAIDIZI WA HESABU - 1 POST
POST CATEGORYS ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii.Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;
iii.Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;
iv.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
v.Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu NBAA.
REMUNERATION TGS B
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Through
URL Link to Apply
Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Carreer opportunities in Tanzania Msaidizi wa hesabu Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto
For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog
0 Response to Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto