Prime Minister's Office Carreer opportunities in Tanzania Mpiga chapa msaidizi Jobs opportunities in Tanzania at Prime Minister's Office
POST MPIGA CHAPA MSAIDIZI - 1 POST
POST CATEGORYS HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Prime Minister's Office
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kukunja karatasi ngumu na kutengeneza ‘covers’ za vitabu, majarida,
madaftari katika mahitaji mbalimbali kwa kugandisha, kuweka pamoja au kushona
katika hali mbalimbali za ubora;
ii. Kukarabati vitabu, kumbukumbu mbalimbali au majarida kwa kuyawekea gamba
jipya au kurudisha katika hali yake ya mwanzo kutegemea na kifaa hicho
kilichoharibika;
iii.Kupanga vifaa vilivyotegenezwa katika makasha kwa vipimo vyake au katika
seti;
iv.Kuendesha mashine za kukata karatasi/kupiga chapa/mashine za composing,
kushona au kugandisha vitabu, majarada, madaftari na vifaa vingine vinavyokuwa
vimetakiwa kwa mtindo na ubora wake; na
v.Kupanga karatasi zitakazochapwa kwa hesabu ya kila kitabu, jarida, daftari
na vinginevyo kwa kushonwa au kugandishwa pamoja.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au VI katika masomo ya sayansi au Sanaa,
wenye cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I Trade Test Grade I katika
“lithography/composing/binding/mashine Minding”, au waliohitimu mafunzo ya
miaka miwili ya kupiga chapa.
REMUNERATION TGS B
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application to
URL Link to Apply
Prime Minister's Office Carreer opportunities in Tanzania Mpiga chapa msaidizi Jobs opportunities in Tanzania at Prime Minister's Office
Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog
0 Response to Prime Minister's Office Tanzania Mpiga chapa msaidizi Jobs