MINISTRY OF HEALTH (MOH) Carreer opportunities in Tanzania Mwalimu daraja iiic Jobs opportunities in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)
POST MWALIMU DARAJA IIIC - 1 POST
POST CATEGORYS EDUCATION AND TRAINING
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH MOH
APPLICATION TIMELINE 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na mpango wa
kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na kufaghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii.Kufundisha, kufanywa tathimini na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya
wanafunzi;
iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi shuleni na darasani;
v.Kusimamia malezi ya wanafunzi kiakili, kimwili, kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi.Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu Maendeleo ya Elimu;
vii.Kusimamia na kutunza vifaa na mali za shule; na
viii.Kufanywa kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Elimu au Ualimu yenye somo la Kingereza English
la kufundishia kutoka Vyuo vya Elimu ya juu vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION TGTS D
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application Through
URL Link to Apply
MINISTRY OF HEALTH (MOH) Carreer opportunities in Tanzania Mwalimu daraja iiic Jobs opportunities in Tanzania at MINISTRY OF HEALTH (MOH)
Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog
0 Response to Jobs in at MINISTRY OF HEALTH (MOH)